Random Posts

USAJILI WA METL CAREER FAIR (JOB BONANZA) KUFUNGWA LEO JUMAMOSI CHANGAMKIA FURSA

Kama  wewe ni mhitimu katika Uhandisi au Utawala (Masoko, Mahusiano, Fedha) na unaari ya kujifunza, ukiwa na mtazamo chanya wa mafanikio na mfuatiliaji wa maadili katika kazi, njoo ujiunge na sikatika bonanza hili la uchambuzi wa ajira.
Rasilimali Watu
Mauzo
Uhasibu
Masoko
Uhandisi
Kilimo
Nguo
Kwani unaweza ukawa mmoja kati ya watu 25 tutakaowachagua kwaajili ya kujiunga kwenye programu ya uendelezaji wa wahitimu wa vyuo vikuu.
Na ukibahatika kuwa mmojawapo kati ya hao utapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo katika viwanda vyetu vilivyopo maeneo mbalimbali.
Pia utapata nafasi ya kufundishwa mifumo ya uendeshaji wa viwanda vya kisasa.
Utakuwa chini ya wakufunzi waliobobea katika kazi zao duniani ambao watakuwezesha wewe kukuakatika kazi na kushika nyadhifa kwenye kazi yako.
Zaidi yayote hayo utakayofanyiwa pia utalipwa ili kujifunza

Kwa  taarifa zaidi tazama vipeperushi vyetu: