Random Posts

WAFANYAKAZI BENKI YA NIC WACHANGIA DAMU MUHIMBILI LEO

1
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NIC wakichangia damu Leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
2
Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya NIC, Pratik akichangia damu kwenye hospitali hiyo leo.
3
Mfanyakazi mwingine akishiriki shughuli ya utoaji damu leo.
4
Ofisa benki hiyo Rahim Kanji akijiandikisha leo asubuhi kabla ya kuchangaia damu. Kulia ni Ofisa Ustawi wa Jamii, Titus Mhokole akimuandikisha ofisa huyo.
5
Wafanyakazi wa benki hiyo wakisubiri kuchangia damu leo.
6
Ofisa mshauri, Wema Makata akitoa ushauri kwa ofisa wa benki hiyo, Ladislaus Mazigo kabla ya kutoa damu leo.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)