Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe maalum ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016,sherehe ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016, katika sherehe maalum ya kuwazawadia wanafunzi hao iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu
Baadhi ya Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita waliopata daraja la kwanza katika Mtihani wa Taifa katika mwezi Octoba -2015 na Mei
mwaka- 2016, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao katika sherehe maalum ya kuwazawadia iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Mahira Baraka Hamadi wa
kidato cha sita Skuli ya Biashara Mombasa Wilaya ya Magharibi Unguja
akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri
katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Munawara Abdull-Aziz Salim wa
kidato cha sita Skuli ya SUZA Unguja
akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri
katika Mtihani wa Taifa Mei mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suhayla Hamad Abubakar wa kidato
cha Nne Skuli ya Feza akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika
Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Hamdoun Sabri Hamdoun wa kidato
cha Nne Skuli ya SOS akiwa ni mwanafuzi aliyefanya vizuri katika
Mtihani wa Taifa mwezi Octoba mwaka 2015,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Suleiman Ali Hamadi wa kidato cha
sita Skuli ya Biashara ya Chasasa Pemba akiwa ni mwanafuzi aliyefanya
vizuri zaidi kuliko wanafunzi wote hapa Zanzibar na ni mmoja kati ya
wanafunzi kumi wa mwanzo Tanzania katika Mtihani wa Taifa mwezi mei
mwaka 2016,hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.]
22/10/2016.

0 Comments