Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sudan
nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akimsikiliza kwa makini,
Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, wakati wa
mazungumzo yao yaliyofanyika, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake,
Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya
mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2016.
(Picha na Bashir
Nkoromo)



0 Comments