Random Posts

MADEREVA WA MALORI YA MCHANGA PWANI WATISHIA KUGOMA

 Kamanda wa Usalama barabarani  mkoani Pwani , Abdi Issango,akizungumza na baadhi ya madereva wa magari ya matipa ya mchanga ambao walitishia kugoma  katika zoezi la  kukaguliwa na wakala wa barabara  (TANROADS) kutokana kujaza mchanga  na kusababisha uchafuzi wa miundombinu ya barabara (picha na Mwamvua Mwinyi)