Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo
lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama na Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Naftal Nsemwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akiwaongoza wageni waalikwa katika maeneo mbalimbali ya tawi jipya la Mwenge,
Dar es Salaam lililozinduliwa jana.
Wageni waalikwa katika hafla fupi ya ufunguzi wa
tawi jipya la Maendeleo Benki la Mwenge wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya ufunguzi wa tawi hilo mapema jana
Baadhi ya wateja wakipata huduma za kibenki katika tawi la Maendeleo
Benki lililofunguliwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw.
Amulike Ngeliama akipata huduma katika tawi jipya la benki hiyo baada ya
uzinduzi Mwenge, Dar es Salaam
0 Comments