
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji
Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada
ya kumuombea marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam Oktoba 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)