Mkuu wa Wilaya ya Maswa Dkt Seif Shekalaghe kushoto akikabidhi mwenge wa
uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu Kulia
Mhe. Elieza Chilagali katika kata ya
Kobondo wilayani Meatu mkoani Simiyu mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. Luhaga Mpina (MB) wa Kisesa akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza
mwenge kitaifa kutoka kwa Bw. James Sadick Munguji kutoka Simiyu, katika Mbio
za Mwenge Wilayani Meatu mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. Luhaga Mpina (kushoto) kulia ni
kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bw. George Jackson Mbijima na wajumbe
wengine wakimsikiliza Bi Regina Anthon katikati alikyeshika kipaza sauti
ambaeni ni katibu wa kikundi cha lishe cha mshikamao wilayani Meatu, wakati wa
maonyesho ya shughuli za kikundi hicho baadaya kuupokea Mwenge wa Uhuru katika
mji mdogo wa Mwandoya jimboni Kisesa.
Katika Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. Luhaga Mpina, kushoto kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Bw.
George Jackson Mbijima na wajumbe wengine pichani wakisikiliza ripoti ya
nidhamu katika Eneo la Nyakanja jimboni Kisesa Wilayani wakati wa Mbio za
mwenge mwishoni mwa Wiki. (Picha zote na Evelyn Mkokoi Afisa Habari Ofisi ya
Makamu wa Rais)



