Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakipita katika gadi ya mapokezi
iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.



Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni
mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya
kuwasili.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma
pamoja na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Taaswira
ya Kinyago alichomkabidhi mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo
na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni
wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA
IKULU









0 Comments