Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza
juu ya ukamilishaji wa zoezi la usajili wa watumishi wa umma mkoani
Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani humo, aliyoifanya
kwa lengo
la kufanya tathmini ya zoezi hilo . Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John Mongella akimsikiliza.
Mkurugenzi
wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi Bw. Eliurd L. Mwaiteleke (kulia)
akimuongoza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(katikati) kwenda katika moja ya kituo cha kusajili watumishi wa umma
kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya waziri
huyo ili kuona namna zoezi hilo linavyoendeshwa
katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki akipewa ufafanuzi
na Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wa
Halimashauri ya Wilaya Misungwi Bw. Abbasi Iwodya (kulia) juu ya taarifa
zinazowasilishwa na watumishi wa umma kwa ajili ya
kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya
kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza
na mmoja wa watumishi aliyekuwa akijisajili
kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya
waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika
Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akikagua viambatisho
vya malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya
kikazi
ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma
kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea malalamiko
ya mtumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya
kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma
kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza
na watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya
kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma
kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akishuhudia
mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela akisajiliwa
kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya
waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika
Halimashauri hiyo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akishuhudia
usajili wa watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kwa
ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya
waziri huyo aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya
tathmini ya zoezi hilo.

0 Comments