Mpiganaji wa ngumi na mateke Kick Boxing Emmanuel Shija
kushoto akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo uho Joe Anena katika uwanja wa
kimataifa wa ndege wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kenya
kwa kuzipiga october 15.
Picha na SUPER D BOXING NEWS
