Mkurugenzi wa Global Publshers akisalimia
wafungwa (hawapo pichani) mara alipowasili gerezani Ukonga katika Tamasha la
Kuadhimisha Siku ya Nyerere.(Nyerere Day) leo tarehe 14, 10, 2016 jijini Dar es
salaam.
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza
Dkt. Juma Malewa akitia saini kitabu kitabu cha wageni gerezani Ukonga katika
Tamasha la Michezo wakati wa kuadhimisha Nyerere Day.Kutoka kulia ni Mkuu wa
Gereza la Ukonga Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Stephen Mwaisabila,
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Thom Nyanduga, Mkurugenzi wa Global
Publishers Erick Shigongo na Abdalah Mrisho ambaye ni meneja wa Global
Publshers.
Baadhi ya Wafungwa walioshiriki katika mchezo wa
kukimbia kwa magunia wakati wa Tamasha la Michezo katika kuadhimisha siku ya
Nyerere Nchini lililofanyika gerezani Ukonga jijini Dare es salaam tarehe
14.10.2016
Mmoja wa Wafungwa walioshiriki katika mchezo wa
kukimbia na yai katika kijiti wakati wa Tamasha la Michezo katika kuadhimisha
siku ya Nyerere Nchini lililofanyika gerezani Ukonga jijini Dare es salaam
tarehe 14.10.2016
Sehemu ya Wafungwa walioshiriki katika mchezo wa
kukimbia mita 100 wakati wa Tamasha la Michezo la kuadhimisha Siku ya Nyerere
Nchini lililofanyika gerezani Ukonga jijini Dare es salaam tarehe 14.10.2016
Baadhi ya Wafungwa walioshiriki katika mchezo wa
kuvuta kamba wakati wa Tamasha la Michezo katika kuadhimisha Siku ya Nyerere
Nchini lililofanyika gerezani Ukonga jijini Dare es salaam tarehe 14.10.2016.
Ushindi ulienda kwa wlio kushoto.
Baadhi ya Wafungwa walioshiriki katika mchezo wa
kushikana mieleka wakati wa Tamasha la Michezo la kuadhimisha Siku ya Nyerere
Nchini lililofanyika gerezani Ukonga jijini Dare es salaam tarehe 14.10.2016.
Picha zote na Deodatus
Kazinja wa Jeshi la Magereza







0 Comments