 |
| Wahifadhi wa Wanyama pori kutoka TANAPA , TAWA na Mamlaka
ya Ngorongoro wakilenga shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa
kufunga mafunzo jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii
Prof Jumanne Maghembe katika kituo cha mafunzo cha Mlele Mkoani
Katavi . |

| Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi waziri wa utalii hayupo
pichani wakati wa kufunga mafunzo ya wahifadhi wanyama pori kutoka
TANAPA,TAWA, na Mamlaka ya Ngorongoro yaliyofanyika kituo cha Mafunzo
Mlele Mkoani KATAVI. |
 |
| Waziri wa Maliasili na utalii Prof Jumanne Maghembe akikagua
gwarid la wahifadhi wanyamapori kutoka TANAPA,TAWA na Mamlaka ya
Ngorongoro wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo yaiyofanika katika
kituo cha mafunzo mlele Mkoani KATAVI. |
 |
| Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Profesa Jumanne Maghembe
akizungumza wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya askari wanyamapori
katika kituo cha Mlele mkoani Katavi. |
Waziri wa Maliasili na
Utalii Prof Jumanne Maghembe akiwahutubia wahitimu wa mafunzo
ya ukakamavu ambao ni wahifadhi wa wanyama pori kutoka TANAPA ,
Mamlaka ya Ngorongoro na TAWA mafunzo yaliofanyika katika kituo
cha Mlele Mkoa wa Katavi mafunzo hayo yamewashirikisha wahitimu
69 na yalifungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof
Jumanne Maghembe ambapo alieleza kuwa Serikali itaendelea
kulinda maliasili kwa nguvu zote.
Picha na Walter Mguluchuma
0 Comments