Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WILSON MASILINGI NA PHILIP MARMO PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI GEORGE WAITARA IKULU DAR ES SALAAM LEO

s1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
s2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
s3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majesho Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
s4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016
s5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 12, 2016