Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkr John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila katika sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
(TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli akihutubia katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya
bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli
akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe.
Joseph Kabila kuhutubia katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la
ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4,
2016
Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila akihutubia katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya
bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila akipokea zawadi ya picha ya
Bandari ya Dar es salaam kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya TPA Bw. Ignas Aloys Rubaratuka katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo
la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba
4, 2016
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila katika sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la wakipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr
John Pombe Magufuli akimshuhudia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila akifunua pazia kuashiria kuwekwa kwa jiwe la
msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA)
jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila katika sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi
wa Bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
PICHA
NA IKULU













0 Comments