Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto mbele) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki Daniel F.Kigeda(katikati mbele) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif AliIddi (kulia mbele) na Spika wa Baraza la
Wawakilishi
Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,wakisimama pamoja na Wabunge wa Bunge ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki,wimbo wa Taifa nchi za Jumuiya ukipigwa
baada ya kumalizika ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja,
Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja,
Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Mbunge Shrose Bhanji mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Wabunge mbali mbali wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki Daniel F.Kigeda mara alipowasili katika ufunguzi wa Mkutano wa
Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
"B"Unguja,(katikati) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir ali Maulid,
[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.