Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Idara ya Zima Moto Zanzibar Ali
Abdalla Malimosi(kushoto) wakati alipotembelea eneo lililotengwa
kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume jana,pia Rais ametoa
agizo la miezi miwili kumalizika kwa ujenzi wa Ofisi hiyo,(kulia)Kaimu Mkurugenzi Mkuu,pia Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Nd,Juma Saleh
Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wakati alipotembelea eneo lililotengwa
kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume jana,akiwa katika ziara maalum ambapo ametoa
agizo la miezi miwili kumalizika kwa ujenzi wa Ofisi za Zimamoto kwa Uongozi wa Idara hiyo,
Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu,pia Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Nd,Juma Saleh (katikati) na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Haji Omar
Kheir(kushoto) jana alipotembelea Kituo cha Idara ya Zimamoto katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa katika ziara
maalum pamoja na kuangalia eneo lililotengwa
kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja huo,
Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto)
akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Idara ya Zima Moto Zanzibar Ali
Abdalla Malimosi(katikati) wakati alipotembelea eneo lililotengwa
kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume jana,
[Picha na Ikulu.]05/10/2016.

0 Comments