Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega katikati
akizungumza na Waandisahi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano
wa kuzungumzia maswala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania
Makongoro Nyerere na wamwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka
Rwanda Patricia Hajabakiga.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano
na Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa
Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya
Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Spika wa
Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya
Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
Mwandishi mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa
Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia
maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.



