Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri
ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa
Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Pangani,Zainabu Issa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri
ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi akisisitiza jambo kwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba kuhusu hatua wanazochukua kukabiliana na
mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo
Mto Pangani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani
ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya
ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani
(CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani
Pangani Twahiru Mkongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani
ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya
ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani
(CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani
Pangani Twahiru Mkongo
Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo akimuonyesha Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba katikati maeneo mbalimbali yaliyoathirika na
mabadiliko ya tabia ya nchi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani
(CCM)Jumaa Aweso kulia ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa pili kutoka kushoto
akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya
nchi kwenye katika Pangani kushoto ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa pili kutoka kushoto akiangalia maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi |
Hili ni miongoni mwa maeneo ya ukuta wa mto Pangani yaliyo athiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akitembelea maeneo
mbalimbali kujionea athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akisisitiza jambo mara
baada ya kutembelea kujionea namna ukuta wa mto Pangani ulivyoliwa
kutokana na mabadiliko ya nchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba katikati akiangalia taarifa
ya mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa Mto Pangani mara baada ya kuutembelea
leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba kushoto akisisitiza jambo
Waziri Amiri ambao walikutwa wakiendelea na shughuli zao pembezoni mwa
mto Pangani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa tatu kutoka kushoto
akimsikiliza kwa umakini Diwani wa Kata ya Pangani Mashariki Akida
Boramimi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya ziara yake hiyo leo hii
</