Uharibifu Mkubwa wa
Mazingira katika Vyanzo Vya maji. Pichani ni kilimo cha miwa katika mto katika
kijiji cha Limba, Sumbawanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano
na Mazingira) Mhe. January Makamba ameagiza watu hao kuondelewa mara moja.
Wakazi wa Manispaa
ya Sumbawanga wamevamia chanzo cha maji cha Mto Lwiche, na kujihusisha na
shughuli za kilimo pamoja na upandaji wa miti ya mikaratusi inayonyonya maji,
chanzo hicho ni miongoni mwa Vyanza vya maji vilivyopo hatarini kutoweka.




0 Comments