Taarifa zilizotufikia muda mfupi
uliopita zinasema Mwanasiasa mkongwe na nguli aliyewahi kuwa Mbunge kwa kipindi kirefu Waziri, Spika wa Bunge la Katiba na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samwel Sitta amefariki nchini
Ujerumani alikokuwa akitibiwa taarifa hizi zimethibitiswa na mmoja wa
watu wa karibu wa familia ambaye hakutaka kutaja jina lake
Taarifa zaidi zitawajia kadiri tutakavyokuwa tukizipata.
Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.
Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.

0 Comments