Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Esther
Bulaya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,
Kunti Majala kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waganga wa
Tiba Asili Tanzania waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Makamu
Mwenyekiti wao ambaye pia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephene
Hillary Ngonyani maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu, Novemba 2,
2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




0 Comments