Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimuapisha Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mihayo Juma Nhunga, katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimuapisha Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ
Mhe,Shamata Shaame Khamis katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Naibu
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe,Shadia Mohamed Suleiman,
katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akiwa na
Viongozi mbali mbali baada ya kuwaapisha Naibu Mawaziri katika Wizara mbali
mbali hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mjini Unguja.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na
Idara Maalum za SMZ Mhe,Shamata Shaame Khamis
akiikariri hati ya kiapo kabla ya kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja,(kulia)Naibu Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawakena
Watoto Mhe,Shadia Mohamed Suleiman.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe,Mihayo Juma Nhunga,akiikariri hati ya kiapo kabla ya kuapishwa leo na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja,(kushoto)Naibu Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake
na Watoto Mhe,Shadia Mohamed Suleiman.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Saidi Hassan Said (kulia)
akiwa na Washauri wa Rais wa Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria
katika hafla ya kuapishwa Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar leo Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 10/11/2016.







0 Comments