Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na wananchi katika ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi ya
Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ambayo yamefadhiliwa
na Uholanzi na Norway sherehe za ufunguzi zimefanyika
[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Bw.Trond Mohn kutoka Nchini Norway ambaye
kati ya wadhili waliotoa fedha kwa Ujenzi majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto ambayo
yamefunguliwa leo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja majengo hayo yamejengwa
kwa ufadhili kutoka Nchini Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya
Mapinduzi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakipata maelezo
wakati walipotembelea moja ya Chumba cha Xray katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama
na Watoto wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika
leo,ambayo yamejengwa kwa ufadhili kuoka Nchini, Uholanzi,Norway na kushirikiana
Serikali ya Mapinduzi.
Vitanda vya kisasa vilivyomo katika moja ya Wodi ya
Kinamama katika majengo mapya zikiwemo
na wodi za Watoto yaliyofunguliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ambapo
yamejengwa kwa ufadhili kutoka nchini Norway,Uholanzi na kushirikiana na
Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Muuguzi katika majengo mapya ya
Wodi za Kinamama na Watoto Jogha Abdalla Ali wakati alipotembelea baada ya
ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambapo yamejengwa kwa ufadhili wa
Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali pamoja na Wananchi
waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na
Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati
alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo.
Madaktari kutoka
Nchi mbali mbali wanaotoa huduma kwa wananchi wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya Ufunguzi wa
Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,baada
ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo.
Baadhi ya Wafanyakazi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya Ufunguzi wa
Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,baada
ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo,yaliyojenga kwa ufadhili kutoka Nchini Uholanzi,Norway
na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi,










0 Comments