Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki
Pembe Juma
alipowasili Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini
Pemba jana kufungua majengo ya Daghalia chuoni hapo akiwa katika ziara
ya siku tano
kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipofika kuzindua majengo ya
Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja,Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akikata utepe kuzindua majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja,
Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano
kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Kisiwani humo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi katika Wizara Elimu na
Mafunzo ya Amali Khamis Rashid mara baada ya kuzindua majengo ya Daghalia
katika Chuo cha Ufundi Kengeja jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali
ya maendeleo, (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe
Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwa na Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipotembelea sehemu mbali mbali mara
baada ya kuzindua majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi
mbali mbali ya maendeleo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi wengine mara baada ya
kutembelea sehemu mbali mbali za majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi
Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana baada ua uzinguzi rasmi
akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo,
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa
wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika
Chuo hicho,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali
mbali ya maendeleo.
Wananchi wa Vijiji vya shehia mbali mbali za Kengeja wakiwa katika
sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya
ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo akiwa katika ziara
ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake wakati sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia
katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa
katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia) Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid,na (kushoto) Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma.
[Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.










0 Comments