Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye
(aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya
kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni ya Star Times Tanzania Limited leo
9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Leo.
|
0 Comments