Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi
la Magereza wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga jijini Dar es
salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza
Desemba 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa gwaride
lililoandaliwa na Jeshi la Magereza wakati alipowasili kwenye gereza
la Ukonga jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za
makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza
wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokwenda kwenye Gereza la Ukonga
kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari Magereza
Desemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Wazirio Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya eneo la ujezi wa
nyumba za askari magereza katika gereza la Ukonga jijini Dar es salaam
Desemba 24, 2016. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,
Mhandisi Hamad Masauni na kushoto kwake ni Kaimu Kamishina Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Ali Malewa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa
Jeshi la Magereza baada ya kukagua maandalizi ya eneo zitakapojengwa
nyumba za makazi za Askari magereza katika gereza la Ukonga jijini Dar
es salaam Desemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






0 Comments