Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca
Nyandeng De Mabior aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya
mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng Mabior Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mke wa Mwanzilishi wa
Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mabior Garang Mtoto
wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Hayati John Garang De Mabior Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
0 Comments