Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha
Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es
Salaam. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment