Tuesday 6 December 2016

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA TANZANIA MH. DKT. JOHN MAGUFULI AMEWAPANDISHA VYEO MAAFISA WAKUU WAWILI WA JWTZ

 Brigedia Jenerali George William IngramMkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.
Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Adolf Mwamunyange kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu anawapongeza na kuwatakia kheri katika vyeo vyao vipya.
  
Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na
Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0784-477638/0756-716085

No comments:

Post a Comment