Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim
Majaliwa(kushoto)akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya Sh 20 milioni
kutoka kwa Meneja wa TIB Corperate Bank Limited tawi la Arusha,Juliana
Mwansuva(kulia)ukiwa ni mchango wa benki hiyo kwaajili ya kununua
Pikipiki ambazo Waziri Mkuu amezikabidhi leo kwenye uwanja wa Sheikh
Amri Abeid Jijini Arusha wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa
Arusha,Mrisho Gambo,Mkurugenzi Mkuu wa TIB Corperate Bank,Frank
Nyabundege na Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe
|
0 Comments