Dereva boda boda Kasian Haule ambaye alimpakia Denis Komba na nyoka wake.
...................................
Tukio
lililo zua taharuki kwa wakazi wa songea mkoani Ruvuma na kupewa nafasi
kubwa katika vyombo vya habari vya Tanzania na nje ya Tanzania pamoja
na mitandao ya kijamii, huku likiacha gumzo midomoni mwa watu, kuhusiana
na kifo cha DENIS KOMBA kufariki dunia baada ya nyoka wake aliyekuwa
anasadikiwa kummiliki, kuuawa na wananchi DESEMBA 26 MWAKA HUU, majira
ya saa 4 na nusu usiku , katika maeneo ya hospital ya rufaa ya mkoa wa
Ruvuma. Ruvuma TV
imezungumza na KASIANI HAULE, ambaye ndiye dereva boda boda aliyekuwa
kakodiwa na marehe DENISI KOMBA Bonyeza hiyo Video upate ukweli wa
tukio.
0 Comments