Hii ni taarifa njema
kutoka kwa wanamitindo wa hapa Tanzania siku ya leo inategemea kuwa siku ya
kipekee na yakuvutia pale Village Museum ambapo kutafanyika “Sanaa Fashion
Show” itakayo wakutanisha wanamitindo mbalimbali.
Kumbuka Mama wa Mitindo
Maarufu kama Asya Idarous Khamsin amezaliwa tarehe kama ya leo yaani leo ni
Birthday yake. Hivyo Designer mbalimbali wamejipanga kushiriki na kusherekea
Sanaa Fashion Show + Birthday Party.
Shangwe nderemo na
vifijo vitatawala ndani ya “Village Museum” Hongera sana Mama Asya Idarous
Khamsin tunaamini wewe ni mwana mitindo mkubwa sana hapa Tanzania umeendelea
kutoa hamasa na msukumu mkubwa kwa up coming designers na hatmaye baadhi yao
kufikia malengo kupitia mgongo wako. Mungu akutunze,akubariki pia akuzidishie neema
uzidi kuwa mfano kwa jamii inayo kuzunguka Happy to you.
0 Comments