Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb)
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga alipowatembelea
Ofisini kwao Jijini Dar es Salaam Desemba19, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb)
akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Viongozi wanawake wa Vyama vya
wafanyakazi TUCTA walipokutana katika Ofisi zao Dar es Salaam tarehe 19
Desemba, 2016.
Baadhi ya Viongozi wa
Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo
pichani) wakati wa mkutano wao Ofisi za TUCTA Dar es Salaam Desemba 19, 2016.
Mkurugenzi Idara ya Jinsia
na Wanawake TUCTA Siham Ahmed akichangia hoja wakati wa mkutano wao na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama (Mb) alipokutana na Viongozi Wanawake wa Vyama vya wafanyakazi
TUCTA Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb)
akipokea vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya Wanawake sehemu za kazi
kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga wakati
wa mkutano wao Ofisi za TUCTA Desemba 19, 2016.
Mwenyekiti wa Kamati ya
Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga akimkabidhi zawadi ya kitenge Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama ikiwa ni sehemu ya kuonesha furaha yao wakati wa mkutano wa Viongozi
Wanawake wa Vyama vya Wafanyakazi Desemba 19, 2016 Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa
Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakiimba wimbo wa umoja wao wakati wa mkutano wao
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama katika Ukumbi wa Ofisi za TUCTA Dar es Salaam Desemba 19,
2016.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)







0 Comments