Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiwasili katika
Kijiji Cha BENACO Wilayani Ngara, Shaka yupo kwa ziara ya kuimarisha
uhai wa chama, kukagua
miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015_2020
Mwenyekiti wa
uvccm Mkoa wa Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza kumkaribisha Ndg:
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Kuzungumza na Wajumbe wa
Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na
Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na
Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako Wilayani Ngara
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi
wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la
Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa
Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la
Utengenezaji wa Madawati katika Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo
Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua eneo la
Shamba la kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group kinacho jishughulisha
na Ufugaji wa Nyuki na Ulimaji wa Mazao Mbali mbali ya Chakula
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akionyeshwa
Bidhaa mbali mbali zinazo zalishwa na kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth
group
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi
mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure kwa wazee
katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila Wilayani Ngara.
Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Bw.Antari Sangali pamoja na wazee wakijiji
cha Mumilamila Wilayani Ngara wakimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu
Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)alipo kua akigawa Vyeti
kwaajili ya Matibabu ya Bure kwa wazee.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipo zindua
Mradi wa Shamba la Uvccm wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli Mbali
mbali za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa agizo
lake alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili kukwamua
Vijana kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo'' SIASA NA UCHUMI''












0 Comments