Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua
jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja
wa ndani wa Taifa.
Bondia Mfaume Mfaume akitengeneza misuli
ya miguu kwa kujifua kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Matumla Feb 5
katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Mfaume Mfaume akinua chuma kizito
kwa kutumia miguu kwa ajili ya kutengeneza masozi ya paja wakati wa
mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla mpambano
utakaofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akiwa katika GYM ya
Nacoz Camp iliyopo Mabibo akifanya mazoezi kwa ajili ya kupambana na
Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Mfaume Mfaume
akiendelea kujifua jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla
Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Mfaume Mfaume
akiendelea kujifua jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla
Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Mfaume Mfaume akifanya mazoezi ya
tumbo kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati akijiandaa na
mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika feb 5 katika ukumbi wa
uwanja wa ndani wa Taifa .
Msimamizi wa Mazoezi ya tumbo Rajabu
Lugome akimpiga tumbo bondia Mfaume Mfaume kwa ajili ya kuimalisha
misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na
Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa .
Msimamizi wa Mazoezi
ya tumbo Rajabu Lugome akimpiga tumbo na gongo bondia Mfaume Mfaume kwa
ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa
kupambana na Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa.

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo
0 Comments