Wahitimu wa Shahada ya
Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu
Augustine (SAUT) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mahafali ya 18
hivi karibuni, kuanzia kulian ni Martin Kayera, Bahati Mollel na Nicodemas
Inkoko.
Wakiwa kwenye picha ya
pamoja wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma
iliyotolewa hivi karibuni katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha
Mtakatifu Augustine (SAUT), kuanzia kushoto ni Concilia Niyibitanga,
Bahati Mollel, Jackline Issack na Latifa Abdallah.
Afisa Uhusiano wa Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bahati Mollel (kulia) akiwa na
wahitimu wenzake Benedict Luvanda, Theresia Mendoza, Debora Ngalijo na
Mariam Lusewa wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya SAUT
hivi karibuni.
Baadhi ya wahitimu wa
Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma iliyotolewa hivi
karibuni kwenye viwanja vya Raila Odinga mkoani Mwanza.
Bahati Mollel (kushoto)
akiwa na Concilia Niyibitanga mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili
ya Habari na Mahusiano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine
(SAUT).
Bahati Mollel akifurahi
mara baada ya kutunukiwa shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma
ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hivi karibuni.






0 Comments