Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mgombea
Ubunge Jimbo la Dimani Juma Ali Juma wakati alipowasili katika Viwanja
vya Mpira Fuoni Mjini Magharibi katika Ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo hilo leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid wakati alipowasili katika Viwanja vya Mpira Fuoni Mjini Magharibi katika Ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani zilizofanyika leo.
Baadhi ya Wanachama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza katika
ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Maelfu ya Wanachama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza nao leo
katika ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakinyanyua mikono juu kuunga mkono Hotuba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza katika
ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika ufungaji wa Kampeni za CCM uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohameed Shein,
akimtambulisha Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dimani CCM Zanzibar,Juma Ali
Juma wakati wa ufungaji wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa jimbo
hilo uliofanyika leo katika viwanja vya mpira Fuoni.
(Picha na Othman
Maulid)

0 Comments