NAIBU ANASTAZIA WAMBURA APOKEA BENDERA YA TAIFA TOKA KWA MISS TEEN HERITAGE 2016 NA KUZINDUA KITABU CHA "UTAMU WA CHUNGWA SI RANGIYE" - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 16 January 2017

NAIBU ANASTAZIA WAMBURA APOKEA BENDERA YA TAIFA TOKA KWA MISS TEEN HERITAGE 2016 NA KUZINDUA KITABU CHA "UTAMU WA CHUNGWA SI RANGIYE"



Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (katikati) akiongea na Waandishi wa habari huku akiwasisitiza Vijana kuiga mfano bora aliofanya Mrembo aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey (kulia) leo 16 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi.


Mrembo wa aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo za Urithi wa Asili wa Mabinti wenye Umri chini ya Miaka 20 wa mwaka 2016 Cecilia Godfrey (kulia) akiwaeleza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) baadhi ya changamoto alizopitia wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika nchini Srilanka. Aliyekaa katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura  na  Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi, 16 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages