Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala, akimkabidhi Bi. Salma Salum
kadi ya bima ya Afya katika viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja,
Zanzibar. Kadi zaidi ya 200 walikabidhiwa wazee wa Jimbo la Kikwajuni ambapo
anatoka Mbunge wa Jimbo hilo ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kushoto).
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimkaribisha
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangala, katika Sherehe za Kukabidhi Bima ya Afya kwa Wazee wa Jimbo la Kikwajuni,
iliyofanyika katika Viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja,
Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala akizungumza na wananchi wa Jimbo
la Kikwajuni (hawapo pichani), kabla ya kukabidhi kadi za Bima ya Afya kwa
wazee zaidi ya 200 wa jimbo hilo ambalo anatoka Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto). Kulia ni Mwakilishi wa Jimbo hilo,
Nassor Salim Jazeera. Tukio hilo
lilifanyika katika Viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja,
Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akuzungumza na
wananchi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala (wapili kulia), kukabidhi
kadi za Bima ya Afya kwa Wazee zaidi ya 200 wa Jimbo la Kikwajuni. Kulia ni Mwakilishi
wa Jimbo hilo, Nassor Salum Jazeera.
Tukio hilo lilifanyika katika Viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini
Unguja, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya
Mapindiuzi, Zanzibar, Bi Harusi Said akizungumza na wananchi katika Sherehe za
kukabidhi Bima ya Afya kwa Wazee zaidi ya 200 wa Jimbo la Kikwajuni ambapo
anatoka Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo. Tukio hilo lilifanyika katika viwanja vya
Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja, Zanzibar.
Picha na Felix Mwagara.
No comments:
Post a Comment