Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba
Desiderius Rwoma mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo
katoliki Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibusu mkono wa
Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini mara baada ya
kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya
Ibada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika
Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kuwasili na
kupokewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la
Bukoba Desiderius Rwoma (katikati)
pamoja na Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini wa
kwanza (kulia)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ibada
ya mwaka mpya katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba
Desiderius Rwoma mara baada ya Ibada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
waumini wa Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera mara baada ya
Ibada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
kaburi la Marehemu Kadinali Rugambwa mara baada ya Ibada kanisani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu
wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius
Rwoma mara baada ya kushiriki Misa ya Mwaka mpya kanisani hapo. Katikati ni
Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha
Wageni Kanisani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba
Desiderius Rwoma kushoto pamoja na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la
Bukoba Askofu Methodius Kilaini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
masista kanisani hapo mara baada ya Ibada.
PICHA NA IKULU












0 Comments