Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL, Mtoni Mjini Magharibi leo inayojengwa na Kampuni ya Bakhresa Group of Companies ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(wa pili kulia)Salim Azizi Mwakilishi wa Bakhresa Group of Companies
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipeana mkono wa shukurani na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa (kulia) baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid
Salum Mohamed (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa (wa pili kulia) baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Wananchi na Viongozi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi aliouweka leo,ujenzi wa Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed (kushoto)na Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa (kulia),
Baadhi ya Viongozi wakiwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi leo, inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Ngoma ya Kibati ilichezawa Wasanii wa kutoka kikundi cha Taifa wakiburudisha leo wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi , inayojengwa na kampuni ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]






0 Comments