Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya
kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo
Makontena ya mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni
shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo
mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo
vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya
Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi
Bandarini ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari
Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo
makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito
leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya
kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya
Uzinduzi uliofanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwasha Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa
kunyanyua Tani 45 wakati alipokuwa akikagua Vifaa vipya vya kufanyia
kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi
rasmi alioufanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,
Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua Tani 45 ikionesha namna inavyoweza kufanya kutoa huduma Makontena baada ya kushushwa katika Meli
na kupanga sehemu ya kuhifadhia (Container Yard) mara baada ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Mashine ya Mibile Harbour Crene LHM 280 yenye
uwezo wa kunyanyua Tani 64 ikionesha namna inavyoweza kufanya kazi
katika kushusha Makontena katika Meli pia na kupanga sehemu ya
kuhifadhia (Container Yard) mara baada ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa
hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari
ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa
ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri
wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani
Karume,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali
Iddi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari
Bw.Salmin Senga,
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipokuwa akimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi
Bandarini ikiwemo Makontena na Mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra
za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya wafanyakazi katika Shirika la Bandari
wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya
Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi
Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra
shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Baadhi ya Wanyakazi wa Shirika la Bandari na wadau mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
hayupo pichani
) alipokuwa akitoa
hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari
ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa
ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipofuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma baada ya Uzinduzi
wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra shamra za miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari Bw.Salmin Senga,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.














0 Comments