 |
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa ambaye
alikuwa mgeni rasmi akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT) wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
|
 |
| Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa Zacharia Mganilwa akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT) wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam. |
 |
| Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa Blasius Bavo Nyichomba akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT) wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam. |
 |
| Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa Zacharia Mganilwa wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam. |
 |
| Baadhi ya Wahitimu wa kozi mbalimbali toka chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wakisikiliza hotuba za Viongozi mbalimbali wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam. |
 |
| Baadhi
ya Viongozi na Watendaji wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika
leo 27/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es Salaam. |
 |
| Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa kozi mbalimbali toka chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mara baada ya kuwatunuku Stashahada
ya Uzamili, Shahada, Stashahada na Astashahada wahitimu hao leo 27/01/2017 jijini Dar es Salaam. |
 |
| Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) pamoja na Wafanyakazi wa chuoni hapo mara baada ya mahafali yaliyofanyika leo 27/01/2017 jijini Dar es Salaam. |
(Picha/Habari na Benedict Liwenga-WHUSM)
<!--[if gte mso 9]>
0 Comments