Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George Boniphace
Simbachawene akizunguimza na wawakilishi kutoka serikali za mitaa leo
jijini Dar es Salaam kuhusina kuhusu kusitishwa kwa muda kwa waraka
uliotoa muungozo wa matumizi ya Mihuri kwa Wenyeviti wa Serikali za
Mitaa na Vijiji leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wawakilishi kutoka serikali za mitaa
wakimsikilizaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George
Boniphace Simbachawene kuhusu kusitishwa kwa muda kwa waraka uliotoa
muungozo wa matumizi ya Mihuri kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na
Vijiji leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George Boniphace
Simbachawene akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa
muda kwa waraka uliotoa muungozo wa matumizi ya Mihuri kwa Wenyeviti wa
Serikali za Mitaa na Vijiji leo jijini Dar es Salaam.
Wawakilishi kutoka serikali za mitaa wakisikiliza jambo kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George Boniphace
Simbachawene .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George Boniphace
Simbachawene (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi
kutoka serikali za mitaa.
............................................................................
No comments:
Post a Comment