Random Posts

TUMEKUSOGEZEA MKASA MZIMA WA KIJANA ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI RUVUMA KWA KUSADIKIWA KUMUUA BABA YAKE MZAZI.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Zubery Mwombeji.

......................

Kijana anayejulikana kwa jiana la Patrick Malindisa ( 29 ) mkazi wa Namanyigu kata ya mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,anashikiliwa na jeshi kwa kusadikiwa kumuua baba yake mzazi anitwaye Atanasi Malindisa. Mkasa Mzima huu hapa.

Post a Comment

0 Comments