Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni
ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya
Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati
hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo
Picha na Chrs Mfinanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa
zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda wagonjwa
na kuwahudimia kwani serikali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa taifa.
Waziri Mkuu Mkuu Kassim
Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza kwa wingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea juhudi za
serikali za kuwasaidia wananchi katika sekta mbali mbali ikiwemo Huduma ya bima
ya afya Waziri mkuu yupo mkoani Ruvuma
kwa ziara ya kikazi.



0 Comments