Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Mozes Nnauye akipokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZ0)
Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) alipofanya ziara katika ofisiza Idara hiyo leo
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt.
Hassan Abbasi akielezea jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye (wa kwanza kulia) leo jijini Dar es Salaam. Waziri Nape
amefanya ziara katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO kwa lengo la kusikiliza
changamoto za wafanyakazi wa idara hiyo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Mozes Nnauye akifafanua jambo alipotembelea Ofisi za Idara ya Habari
(MAELEZO) leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZ0) Dkt. Hassan Abbasi, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
wa Wizara hiyo Bibi. Zawadi Msala na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari
(Sehemu ya Habari) Bw. Artemony Tiganya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Mozes Nnauye akiangalia makabati yanayohifadhia majarada ya usajili
wa magazeti alipotembelea Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari
(Sehemu ya Habari) Bw. Artemony Tiganya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Mozes Nnauye akiangalia saver kwa ajili ya kuhifadhi Picha za matukio
mbalimbali alipotembelea Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es
Salaam. kulia ni Afisa Habari Mkuu wa Idara hiyo Bw. John Lukuwi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Mozes Nnauye akiangalia akiangalia mfumo wa zamani wa kuhifadhia
magazeti alipotembelea Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa
Wizara hiyo Bibi. Zawadi Msalla na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi, Katibu wa Waziri
Bw. Octavian na Afisa Habari Mkuu John Lukuwi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt.
Hassan Abbasi akimuonyesha habari iliyoandikwa katika gazeti la Mzalendo la
miaka ya nyuma Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye (kulia) alipotemmbelea Ofisi za Idara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Bw. John Lukuwi akimuelezea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Mozes Nnauye ( aliyekaa) namna Kamera ya kupigia picha za majengo marefu
inavyofanya kazi wakati wa ziara yake katika Ofisi za Idara hiyo leo jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(watatu kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mara baada
ya kumaliza kikao leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank
Shija – MAELEZO.









0 Comments