Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akifurahia ngoma ya Limdoya iliyochezwa na
wasanii kutoka kijiji cha Kanitelele wilayani njombe wakati alipohutubia
mkutano wa hadhata kayika uwanja wa michezo wa Lupembe mkoani Mjombe
Januari 25, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Alfred Maruma wa
jimbo Katoliki la Njombe, wakati alipotembelea shamba ya chai ya
wakulima wa kijiji cha Lwangu, Njombe Januari 25, 2017.
(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chai katika shamba la wananchi
wa kijiji cha Lwangu , Njombe akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari
25, 2017.Kulia ni Meneja wa Kampuni a kutoa huduma kwa wakulima wadogo
wa Njombe (NOSC),Bw.Filbert Kavia.
(Picha na Ofisi ya Wazti Mkuu)



0 Comments