Random Posts

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI NJOMBE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa  Njombe wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe katika eneo la Wikichi katika  Wilaya  ya Njombe Januari 21, 2017.


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Makete baada ya kufungua madarasa  ya shule hiyo Januari 21, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akifungua madarasa  ya shule ya Sekondari ya Iwawa  iliyopo Makete Januari 21, 2017..
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete kabla ya kufungua madarasa  ya shule hiyo Januari 20,1, 2017.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments